Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila shaka na Siku nyingine atasema atakuwa anaenda Ng'ambo na Members wa JamiiForums akianza na GENTAMYCINE.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
MJUMBE HAUWAWI. Nimepitia comment kwenye hii post. Wanaume wanamalalamiko mengi sana yenye tiija juu ya hoja hii. Swali likanijia, je anaweza kufika Moshi na asifike kileleni? Nikaendelea...
1 Reactions
8 Replies
110 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua) Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake...
4 Reactions
13 Replies
230 Views
Familia ya Mpanda Mlima kutoka Kenya, Joshua Cheruiyot Kirui, ambaye alifariki dunia akipanda Mlima Everest Mei 22, imesema Mwili huo utaachwa alikofia kutokana na gharama na hatari zinazohusishwa...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Samahani wana JF nauza gari yangu Toyota ractis no EAS rangi ya silver full AC. Nipo DSM, kwa maongezi nicheki 0744566124.
1 Reactions
13 Replies
309 Views
Jana siyo yako kwa sababu imepita na haiwezi kurudi, lakini pia kesho siyo yako kwa sababu haipo na hauna uhakika nayo. Yako ni leo tu. Itumie utakavyo. Mambo makubwa yote hutengenezwa leo...
0 Reactions
2 Replies
34 Views
CCM tukiwa tunaendelea kiwafariji rafiki zetu wa ANC Leo tena Mahakama nchini Kenya imebatilisha umiliki wa Ardhi ya KICC iliyokuwa inamilikiwa na KANU na sasa itamilikiwa na Serikali kupitia...
1 Reactions
4 Replies
15 Views
Habari wakuu Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
11 Reactions
144 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views

FORUM STATS

Threads
1,859,759
Posts
49,785,239
Back
Top Bottom