Kama kawaida yangu nikiwa na mdodoza mfanyabiashra tajiri mkubwa sna hapa Dodoma Ni mzee simple sna ukimuona huweZi dhani kuwa Ana pesa.
Basi kutoka na ninayo yaona Happ ndani ya nchi hi ikabidi...
Imeelezwa Marais wa Rwanda, Zimbabwe na Kenya wako Korea Kuungana na Rais Samia kwenye Mkutano wa kihistoria wa Korea Kusini na Africa
Museven amewakilishwa na Naibu wake
Credit: Naipamei Kaikai X
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake...
Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi.
Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao...
Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
Akiwa amecheza mechi chache za mwanzoni mwa msimu, tayari mabwege wameanza kukosoa na kusema Yanga wamepigwa kwa usajili wa Aziz Ki. Wamesahau hata bwana wao Mayele hakuanza vema ligi lkn kwa sasa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana.
Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za...
Mimi nilikuwa mechi nilikuwa naanglia nani ni best players. so far nimeoma huyu mcolombia atasumbua sana. next season simba na yanga. Zinaweza amia Colombia.
Huyu jamaa ni very intelligent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.