Nahisi tatizo lako ni kumuunga mkono Tundu Lissu ndio sababu ukaletewa bilionea akung'oe.
Wewe ni mtoto wa Kimasikini hizo siasa hutaziweza njoo CCM upate pumziko la kweli la kisiasa.
Mbowe...
Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa...
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
French President Macron to announce: "Europe is at war with Russia" on June 6
JUNE 02, 2024
June 6 will be a landmark day for the whole of Europe. France will officially make the first...
Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
Ni vyema timu ya wananchi ikajulishwa Kama kunakuwepo na makombe yanayoeleweka ili waende kuyabeba kwani wamethibitisha ubora wao kwenye eneo ilo!
Timu kubwa siku zote inabeba makombe na timu...
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana.
Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za...
Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.
Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.
Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.