Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐€๐ง๐ฌ๐š๐ซ ๐š๐ฅ-๐ฌ๐ฎ๐ง๐ง๐š. - ๐๐ฃ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐›๐ข๐ญ๐ข ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฅ๐š๐š๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐‚๐š๐›๐จ ๐ƒ๐ž๐ฅ๐ ๐š๐๐จ. - ๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐จ๐ค๐จ๐ญ๐š ๐ฆ๐ข๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐œ๐ก๐ฐ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ฉ๐ž๐ฆ๐›๐ž๐ง๐ข. ๐’๐„๐‡๐„๐Œ๐” ๐˜๐€ ๐Ÿฌ๐Ÿญ: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri...
72 Reactions
243 Replies
11K Views
Kila mahali watu wana gombania dollar ya kimarekani , lakini cha kushangaza hanunui toothpick, simu, gari wala hata kahawa kutoka marekani. Vitu kama hajanunua China, basi atanunua Japan, la sivyo...
5 Reactions
170 Replies
20K Views
Kwa hapa Dar es Salaam wapi naweza kupata kuku wa kukaanga kienyeji mithili ya wale wanaouzwa KFC? Yani kuku wa kukaanga crispy au crunch lakini ni wa kienyeji. Na ni kwa nini kuku wa kienyeji wa...
1 Reactions
3 Replies
20 Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael โ€˜Luluโ€™ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
2 Reactions
21 Replies
592 Views
https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8 Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua) Ametangaza kukata...
12 Reactions
64 Replies
1K Views
Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo: 1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
26 Reactions
83 Replies
2K Views
Natamani niwashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa vyenye nguvu nchini ilikujenga Bunge lenye checks & balance. Ili kutekeleza hilo lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya...
6 Reactions
106 Replies
2K Views
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex. Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
34 Reactions
723 Replies
38K Views
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe. Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu...
2 Reactions
18 Replies
236 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,772
Posts
49,785,670
Back
Top Bottom