Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
15 Reactions
216 Replies
1K Views
Ni kisa cha kushangaza sana. Nimeikuta mtandao wa Quora. Baada ya mazishi ya mwanaume mmoja, mbwa wake alitoweka ghafla na kwenda kusikojulikana. Siku mbili baadaye alikutwa akiwa amelala kwenye...
15 Reactions
43 Replies
682 Views
Tukubaliane na hali halisi, walimu wanaosubiri ajira mtaani ni wengi mno, na ambao wako mbioni kuhitimu na ni wengi, maelfu kwa maelfu, ukijumlisha na walio mtaani wanaweza kufika makumi ya...
31 Reactions
114 Replies
34K Views
Shoga hilo la kizayuni kutoka taifa teule la Israel Benjamin Cohen ambaye ni founder wa "PinkNews"na mmewe Anthony James wameasili mtoto mchanga. Cc. wana wa israeli wa Tanzania. Kujeni hapa...
3 Reactions
37 Replies
295 Views
My people how's weekend? Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari. Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
29 Reactions
182 Replies
2K Views
Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni. CHADEMA. ==== CHADEMA usiweke...
0 Reactions
10 Replies
57 Views
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
2 Reactions
167 Replies
2K Views
Wakuu, Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu. Mimi...
15 Reactions
81 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,272
Posts
49,769,979
Back
Top Bottom