Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
11 Reactions
78 Replies
1K Views
Kuna kundi la vijana mchanganyiko wa Arusha ambao hawana kazi rasmi, wengi miongoni mwao wakijihusisha na ulevi uliopindukia, uvutaji wa bangi, matumizi ya unga, uporaji, ukabaji, ubakaji na...
8 Reactions
70 Replies
1K Views
Wakuu habari, Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya...
5 Reactions
87 Replies
2K Views
Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya...
7 Reactions
61 Replies
868 Views
Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa. Malawi imeilaumu Tanzania kwa...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Sioni media za kibongo zikiripoti kiviile yaani unaweza kudhani hakuna uchaguzi mkuu kwa hawa jamaa zetu
5 Reactions
37 Replies
223 Views
Only in Tanzania ndipo kufanya kazi kituoni muda mrefu ni kigezo cha kushuka ufanisi. Tanzania Uhamisho wa watendaji ni maamuzi ya kila mtu. Hakuna sera inayoongoza taratibu za uhamisho. Leo kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanamke mmoja na mtu mwingine anayedaiwa ni hawara yake kwa tuhuma za mauaji ya mme wa mwanamke huyo kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi...
2 Reactions
14 Replies
15 Views
Hii nchi ina mambo ya kushangaza, Jerry Silaa huwa anatukana Mahakama, hapa wanaomba Jerry ilawasaidie.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,859,191
Posts
49,767,821
Back
Top Bottom