Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!
Huyu mwanamke anaijua...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
Habari waungwana,
Leo ikiwa wenzetu huku kenya wapo kweny sikukuu ya Mdaraka ''Madaraka day '' , kiongozi mmoja huko uganda ameachia video ya utupu mtandaoni akili raha duniani . Kiongozi huyu...
Nakubaliana na Mtaka,Kuna ma RC na DC wengi tuu wanafanya kazi zao za Kutatua Kero vizuri kabisa ukiacha wale waigizaji wachache kama Makongoro wa Rukwa ambae amezeeka hana jipya.
Lakini majority...
Mimi sio mpenzi kabisa wa wireless earphones,
Nikanunua original Samsung Type-C earphones 30k powered by AKG kuja kutumia kasauti nilikokutana nako na niliyozoea nikahisi au nimeziharibu suala...
Sijajua katika hayo mambo manne Tanzania tunakwama wapi?!🐼
Watu tuko zaidi ya million 60
Ardhi ina kila kitu Mazao, Misitu, Madini, Mito, Maziwa, Wanyama, Bandari, nk...nk
Siasa Safi tunao CCM...
Kama si Wakoloni, huenda Tanganyika kwa sasa ingekuwa ni nchi ndogo sana au kubwa sana kuliko ilivyo sasa.
Isingelikuwa Wakoloni, huenda Arusha na Kilimanjaro zingekuwa nchi zinazojitegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.