Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za hapa wana jamii, Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa niko 🇰🇪 Kenya ila mmmh life ya Kenya kiukweli ni ngumu mno. Sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana 🇧🇼...
5 Reactions
27 Replies
495 Views
Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 itasomwa kesho tarehe 13 Juni, 2024 Bungeni Jijini Dodoma.
1 Reactions
11 Replies
50 Views
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
6 Reactions
92 Replies
760 Views
Habari wadau. Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba. Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
39 Reactions
85 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, natumaini mmeamka salama. Mimi pia, nipo kwenye computer yangu nachapisha haya maneno. Katika pitapita zangu, nilikutana na hili swali leo asubuhi, kwenye X account ya rafiki...
6 Reactions
27 Replies
560 Views
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi. Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela...
5 Reactions
158 Replies
4K Views
Kila Mwanajeshi ninayekutana nae wa Uganda ( hasa Maafisa ) na Wengi wao walioko katika Kikosi cha Ulinzi cha Rais Museveni na Wakubwa Wao walikoko Makao Makuu yao ya Mbuya na wale walioko katika...
5 Reactions
18 Replies
147 Views
Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024. Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri...
2 Reactions
28 Replies
539 Views
A
Kuna mchezo mchafu unafanyika kwenye branch ya Mbagala Zakhiem upande wa Lipa kwa simu, HQ wanasema ni bure kupata number ya Lipa kwa simu ila ukifika kwenye hii branch Wanatoza 10,000 kwa ajili...
0 Reactions
1 Replies
64 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,837
Posts
49,867,218
Back
Top Bottom