Nikiwa kama mwananchi ninapenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa hawa Waheshimiwa wawili. Kwa kweli wamekuwa ni viongozi wa mfano ambao kwa kiasi kikubwa wanashughulikia matatizo ya watanzania...
Chukua simu yako, type any random number halafu ipigie. Atakayepokea, awe jinsia yako au jinsia tofauti mwambie hivi:
'Najua hunijui ndugu yangu, lakini maisha yangu yamekuwa na changamoto nyingi...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa wakiwa kitandani akamuuliza mkewe
"Una uhakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?"
Mke akajibu "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli tu...
Kwa sasa chukulia makundi haya mawili, kundi la kwanza ukiwaweka watu wa aina ya kitenge, mwijaku, baba levo na mwanasiasa mmoja, na kundi la pili ukawawweka wasomi wenye digirii na ambao...
Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu...
Katika Ufugaji, mbinu kubwa ya kuongeza faida ni Kunenepesha mifugo kabla ya kuuza. Mbinu au mpango huu hulenga kuongeza thamani ya mfugo sokoni. Ukinenepesha mfugo huongezeka uzani na pia huwa...
Wanaukumbi.
🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO.
Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.