Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kada wa CCM na msanii mkongwe nchini afande Sele amesema UVCCM ni Janga la Taifa Afande amesema Wakati Rais Samia mwenyewe ameonyesha ukomavu wa kisiasa wa kukabiliana na kila lililo mbele yake...
5 Reactions
10 Replies
356 Views
Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi, Hii timu...
2 Reactions
14 Replies
334 Views
Kwa mujibu wa economic intelligence Afrika Ina Hifadhi ya asilimia 30% ya Madini mbalimbali Duniani. Kutokana hivyo ikabainisha Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Mauzo ya Madini mbalimbali kuanzia...
0 Reactions
9 Replies
168 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
53 Reactions
382 Replies
5K Views
Mabosi wa kiume wamekuwa wakiwadhalilisha sana wanawake sehemu za kazi ila wanawake wengi hawana ujasiri wa kusema wazi. 1. Maofisini. 2. Vyuoni. Viongozi wengi sio waadilifu, wengi ni wasaliti...
4 Reactions
41 Replies
816 Views
Kama kuna mistake ambayo kama mwenyekiti wa chama hawezi kuifanya, Kwa mfano, wa chama cha demokrasia na maendeleo, chadema, ngazi ya taifa ni kwamba, kamwe haitatokea, wala hata thubutu kuifanya...
0 Reactions
3 Replies
84 Views
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃 ========= Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli...
10 Reactions
95 Replies
3K Views
1. Namba ya Serial na IMEI - Hatua za Kufanya: 1. Nenda kwenye Settings > General > About. 2. Tafuta Serial Number na IMEI. 3. Tembelea tovuti rasmi ya Apple...
1 Reactions
5 Replies
139 Views
Wapendwa natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo na kushauriana mambo mbalimbali . Mimi ni mwanamke wa miaka 33 ninayejielewa ni ivo tu [emoji28] maisha
7 Reactions
57 Replies
587 Views
Rais Magufuli anafungua kiwanda cha ngozi kinachomilikiwa na tajiri maarufu nchini Dr Rostam Aziz Kihonda mkoani Morogoro. Tukio liko mubashara TBC Channel ten na ITV Up dates; Rais Magufuli...
13 Reactions
147 Replies
17K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,803
Posts
49,866,476
Back
Top Bottom