Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa mujibu wa maelezo ya Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof.Kitila Mkumbo,Nchi ya Tanzania Ina Jumla ya Watumishi wa Umma 586,000 ambao wanafanya kazi kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wa...
3 Reactions
38 Replies
566 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye...
12 Reactions
57 Replies
1K Views
Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life 1: usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu Cha kipato, Yani mwanamke Hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za...
3 Reactions
11 Replies
75 Views
Mimi Mjanja M1 nimeishi Marekani, Uingereza na China, kote huko sijaona mambo ya ajabu kama haya!
3 Reactions
10 Replies
140 Views
Hapa nyumbani nina kadi ya mchango wa harusi wa sh 20,000 nimegoma kutoa sababu naona ni matumizi mabaya ya hela. Hivi vijeba vinne vimejipigapiga vimefanikiwa kutoa hiki kiasi kidogo walichojaliwa.
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Natafuta line ya safaricom ambayo inafanya kazi upande wa mpesa hata kama imewahi kuungwa paypal. Mwenye nayo akiwa dar anauza naomba ani PM
0 Reactions
6 Replies
63 Views
Hali zenu, SakoKwaBako! Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo. Tatizo langu ni la saikolojia...
8 Reactions
48 Replies
595 Views
Naomba nikiri hoja yangu imelenga kuleta hoja vijana wajitume na sio kuwa ombaomba ilihali wana nguvu. Mwaka 2023 mwezi wa 5 nikiwa natembea maeneo ya Ubungo jirani na NBC bank alikuja kijana...
14 Reactions
80 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,654
Posts
49,862,890
Back
Top Bottom