Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Naam Karibu hapa Kwa mahitaji wa CHETI cha kuzaliwa
Haina haja ya kwenda Tena Rita kufatilia cheti cha kuzaliwa, shughuli yote tunaifanya Kwa mtandao (eRitaService)
Unachotakiwa kufanya ni kuwa...
Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi
Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa...
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15...
Kwa sasa chukulia makundi haya mawili, kundi la kwanza ukiwaweka watu wa aina ya kitenge, mwijaku, baba levo na mwanasiasa mmoja, na kundi la pili ukawawweka wasomi wenye digirii na ambao...
Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa.
RC jana katumbuliwa, ndiyo...
Mh. Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda mabasi yanayotakiwa kwenda Kikatiti na King'ori maarufu km Covid hunyanyasa sana wananchi wanaoenda njia tajwa. Hqya magari vibao vinaonesha yanatakiwa...
Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.