Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni zuri sana kama unavoliona, rangi original 230k tu nakuachia 0697224996
2 Reactions
15 Replies
209 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra! Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema...
0 Reactions
1 Replies
26 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
514 Replies
41K Views
Hapa nyumbani nina kadi ya mchango wa harusi wa sh 20,000 nimegoma kutoa sababu naona ni matumizi mabaya ya hela. Hivi vijeba vinne vimejipigapiga vimefanikiwa kutoa hiki kiasi kidogo walichojaliwa.
6 Reactions
35 Replies
970 Views
Habari zenu. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la whites hasa wazungu kuwa na dada zetu blacks motomoto. Ukipita kwa mitaa, tiktok, fukweni na nchi mbalimbali duniani ni whites na...
4 Reactions
57 Replies
1K Views
Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo...
1 Reactions
6 Replies
134 Views
Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa...
3 Reactions
93 Replies
807 Views
Naam Karibu hapa Kwa mahitaji wa CHETI cha kuzaliwa Haina haja ya kwenda Tena Rita kufatilia cheti cha kuzaliwa, shughuli yote tunaifanya Kwa mtandao (eRitaService) Unachotakiwa kufanya ni kuwa...
3 Reactions
17 Replies
227 Views
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15...
0 Reactions
3 Replies
58 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,576
Posts
49,860,952
Back
Top Bottom