Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
269 Reactions
164K Replies
5M Views
UGENI WA TBC SAFARI CHANNEL MAKTABA Leo asubuhi Maktaba ilibahatika kupokea ugeni kutoka TBC Safari Channel watayarishaji na Warushaji wa vipindi vya historia. Walinifahamisha kuwa wapo katika...
2 Reactions
4 Replies
260 Views
Wakuu naombeni ushauri, Kuna rafiki yangu anatokwa na vipele kama hivi, shidah ni nn , maana anasema vilianza kumuwasha mapajani vikafika mpaka uumeni na nyuma kwenye makalio vimemtokea, shidah...
4 Reactions
109 Replies
4K Views
Samahani jamani mimi ninalipwa mshahara wa 300k kwa mwezi nafanya kazi katika kampuni moja hivi . Lakini pesa hii haikai kabisa , yaan hapa nilipo sijui natakiwa kutumia shngp kama pesa ya...
0 Reactions
1 Replies
6 Views
Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four. Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Wanaukumbi. 🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO. Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha...
2 Reactions
153 Replies
2K Views
Hivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani
2 Reactions
24 Replies
456 Views
Karibuni kwenye mada. Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga. Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
33 Reactions
19K Replies
758K Views
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe : ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21 nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
10 Reactions
85 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,793
Posts
49,866,216
Back
Top Bottom