Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu natafuta chat gpt ambayo kwene iphone ni free?? hii ninayoijua n ya kulipia ila ni free kwene browser
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Chukua simu yako, type any random number halafu ipigie. Atakayepokea, awe jinsia yako au jinsia tofauti mwambie hivi: 'Najua hunijui ndugu yangu, lakini maisha yangu yamekuwa na changamoto nyingi...
2 Reactions
18 Replies
225 Views
Badala ya kujikita kumsaidia Rais wako, wewe unapambana kumtukana. Ili iweje sasa? Fuatilia hatma ya wanaowatukana viongozi wao. Kuna jambo utajifunza
1 Reactions
3 Replies
5 Views
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno. Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote.... Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
20 Reactions
238 Replies
2K Views
Zuchu hajajichubua, hajaweka kalio la plastic, hajachora tatoo, havuti shisha wala kunywa pombe Ukimpata kama yeye Oa chap masta
3 Reactions
95 Replies
1K Views
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia. Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka. Awe baba kwa watoto wake...
23 Reactions
131 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO...
5 Reactions
33 Replies
880 Views
Habari zenu,nina mtoto wa kike kesho 13/06/24 anafikisha miaka 11 kamili (Happy bday in advance my daughter) Mtoto alizaliwa vizuri japo alikunywa maji machafu baada ya kuchelewa kuzaliwa masaa...
2 Reactions
6 Replies
99 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,738
Posts
49,864,840
Back
Top Bottom