Katika hali isiyo ya kawaida na isiyo ya kikatiba Mwenyekiti wa Simba upande wa Mwekezaji anajiuzulu na kumteua Rais wa heshima wa Simba Mo kuwa Mwenyekiti upande wa Mwekezaji!
Hii kitu...
Chukua simu yako, type any random number halafu ipigie. Atakayepokea, awe jinsia yako au jinsia tofauti mwambie hivi:
'Najua hunijui ndugu yangu, lakini maisha yangu yamekuwa na changamoto nyingi...
My Take
Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele.
https://www.instagram.com/reel/C8Gytt4tTbd/?igsh=MTVuanU0MDdoNTJiYw==
Tafuteni hoja nyingine 👇👇...
Jamaa walipitia mateso sana, ila ingekua vizuri Israel ikawakagua kwa karibu na kuwafuatilia isijetokea walisilimishwa na kuwa misukule ya dini ile ambapo wanaweza wakajilipua humo humo Israel...
Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi.
Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
Habari wanajukwaa.
In short niseme tu umaskin ni janga kwelikweli unavyoona CCM inaendelea kutawala leo ni kwa sababu ya umasikini tulionao, mimi huwa naamini mtu akiwa na Maisha sio ya kitajiri...
... 🚨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗪𝗘
"Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la...
Wanajukwaa habari zenu!
Hivi umewahi kujiuliza, Kwa nini Mboga ni za lazima au muhimu unapokula ugali?
Je, umewahi kula ugali bila mboga yoyote ile? Inawezekana? Haiwezekani?
Kuna makundi makuu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.