WhatsApp imeanzisha utaratibu wa kutuma sauti (voice note) ambayo mtumiwaji ataweza kuisikiliza mara moja tu (listen once) kama ambavyo ilivyo kwenye picha (view once). Ni maendeleo mazuri ya...
Kwanza vitu vingine kwenye maisha sio lazima ni sifa tu, hakuna utofauti wowote kwenye ndoa either ufanye sherehe au usifanye, lakini kumekua na kero kubwa sana juu ya hii Michango ya harusi, ndoa...
Jumatano hii kweli ya watu kujaa beach nimenusa watu Wana mipango ya Hela week hii toka ianze Mpaka itakapoisha maokoto kama yote kama wewe hujapitiwa aisee badilisha mfumo kabisa.. Ila...
Hali inazidi kuwa tete katika mashariki ya kati na kwa Israel kufuatia taarifa kwamba wapiganaji wa Houth wameanza mazungumzo ya kuwapatia wanamgambo wa Alshabaab silaha kama walizonazo wao ili...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.
Pamoja...
Dunia na Mikanganyiko yake
Hayo makundi yote yanafanya uhalifu sawa sawa katika nchi zao, makundi mengi hayazitambui serikali za nchi zao.
Nini sababu kubwa ya makundi hayo kwenye nchi za waislamu...
Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.
Inakadiriwa watu...
MEP Services: I specialize in the Design and installation of Plumbing systems, Fire Protection systems, Kitchen Equipment layouts, HVAC systems, and Fire protection Pumps for residential...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.