Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa wameweka utaratibu kwa abira watakaosafiri na treni ya umeme kwamba hawataruhusu mtu asafiri na mizigo mikubwa au...
Hatari ya Jambo alilolifanya huyu kijana ni kubwa sana, hata kama amelipwa lakini hakuangalia mbele na wala hakujiuliza, kwanini Hadija Kopa au John Komba hawakufanya hivyo.
Kusifia ccm au Samia...
Chukua simu yako, type any random number halafu ipigie. Atakayepokea, awe jinsia yako au jinsia tofauti mwambie hivi:
'Najua hunijui ndugu yangu, lakini maisha yangu yamekuwa na changamoto nyingi...
Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya marekani.
Hii ni...
Wasalaam.
Upuka maneno matupu yasiyo na uthibitisho.
Tufuatane kwa pamoja na kwa umakini upate kujifunza. Nitaweka, Aya zote ili uweze kuthibitisha mwenyewe na kufanya rejea juu ya yote...
Hii sasa ina 3 weeks mwanzo nilikuwa nawaona wadogo bafuni nikawa nawaua nawaflash nilipouliza watu wakaniambia watakuwa wanaingia kupitia bomba maana jirani hakuna dimbwil wala mto kwa saiz yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.