Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kwa namna na jinsi unavyo vaa mavazi yako, kwa kauli na jinsi unavyoongea na watu, kuchangamana na rika mbalimbali, kuelewana na watu, na kushirikiana na wengine kwenye mambo mablimbali mathalani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu...
18 Reactions
73 Replies
2K Views
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
4 Reactions
59 Replies
433 Views
Mabosi wa kiume wamekuwa wakiwadhalilisha sana wanawake sehemu za kazi ila wanawake wengi hawana ujasiri wa kusema wazi. 1. Maofisini. 2. Vyuoni. Viongozi wengi sio waadilifu, wengi ni wasaliti...
9 Reactions
78 Replies
1K Views
Habari wadau. Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba. Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
32 Reactions
71 Replies
2K Views
Dr. Yahaya Ismail Nawanda, Former Simiyu RC 1. Introduction This week, the media has repeatedly alleged that, on 02 June 2024, the former Simiyu Regional Commissioner, one Dr. Yahaya Ismail...
15 Reactions
42 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameonyesha sifa kadhaa ambazo zinaonekana kufanana na sifa za rais bora: Uadilifu: Rais Samia ameonekana kujitahidi kufuata maadili ya uongozi na kutoa...
3 Reactions
14 Replies
100 Views
Wapenda amani SALAÀM! Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:- Mbn Lissu anatukana sana? Mbn Lissu anadhihaki sana? Mbn Lissu anakera...
5 Reactions
45 Replies
833 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema badala ya kumfungia msanii, mamlaka zinapaswa kwanza kumuelewa kwamba kwenye tungo zake anamaanisha nini, badala ya zenyewe kutafsiri kile...
3 Reactions
15 Replies
570 Views
Wakuu natafuta chat gpt ambayo kwene iphone ni free? Hii ninayoijua ni ya kulipia ila ni free kwene browser
0 Reactions
9 Replies
96 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,817
Posts
49,866,893
Back
Top Bottom