Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa...
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu
Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani
Na anachuki na wachezaji fulani
Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.