Rais Bola Tinubu alijikwaa na kuanguka leo 12/6/2024 alipokuwa akipanda gari la gwaride katika Uwanja wa Eagles.
Tinubu alianguka na kujipigiza kichwa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Demokrasia...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno.
Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru...
Siku za karibuni,tutasikia Makamu wa Rais wa Malawi atazikwa.
Ukizingatia mkoa wa Ruvuma umepakana na nchi ya Malawi,ninashauri Mkuu wa huo mkoa amwakilishe Rais kwenye maxishi hayo ili kupunguza...
Wasalaam.
Upuka maneno matupu yasiyo na uthibitisho.
Tufuatane kwa pamoja na kwa umakini upate kujifunza. Nitaweka, Aya zote ili uweze kuthibitisha mwenyewe na kufanya rejea juu ya yote...
Wasalam ndugu wana Jf,
Aise ndugu yenu nina shida, Kuna mtu namtafuta yapata miezi tisa sasa, PM yake ipo locked na pia hajawahi post kitu chochote ndani ya muda huu.
Huyo ni Madam S, tafadhali...
Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda...
Tatoo ni utamaduni kama utamaduni mwengine, na wala sikatai mtu kuchora tatoo kama anaona inafaa hata mimi nimechora ila kwa wanawake kuna mambo nimenote:-
Ogopa sana mwanamke mwenye hizi sifa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.