Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Huyu mbunge wa Nzega na waziri wa zamani wa Maliasii kwa wiki nzima sasa amekuwa akiendesha harakati zake mtandaoni na kwenye redio akidai Simba inaendeshwa ndivyo sivyo na "tajiri" au sijui...
mimi ni mwanamme mwenye miaka kamili elimu yangu inatambulika tanzania mchumba awe na sifa zifuatazo;
1 mpenda watu
2 above 18 yrs
3 moderate tall
4 elimu ni mengineyo
5 awe na life skills
6 awe...
Hbr wanajamvi
kama kunamdada aliye zaliwa 08/02/1980 mpaka sasa hajapata mme basi anipm na shaka aondoe amempata ila baadaye ntahitaji uthibitisho asante siku njema
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life
1: usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu Cha kipato, Yani mwanamke Hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi.
Cha...
Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.