Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa yoyote anayejua maslahi ya Viongozi wa hii mifuko ya Hifadhi (NSSF na PSSSF) ikiwemo Mishahara, Marupurupu n.k. ukiacha upigaji kwenye miradi kikubwa ya ujenzi wanayowekeza.
MANGUNGU [emoji119]: KWA MASLAHI MAPANA YA KLABU YETU,NITATOA PESA ZA USAJILI.
Pesa za usajili Nitatoa mwenyewe Kwa kushirikiana na Wanachama na wapenzi wa Simba, Sasa nipo kutafuta mkurugenzi wa...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Umoja wa Mataifa unaiweka Tanzania katika kundi la Nchi maskini Zaidi (LDC). Hata hivyo, ikizingatiwa rasilimali nyingi na uwezo mkubwa wa nchi yetu, hadhi hii inaonekana kutofaa. Miaka ya 1950...
Hapa nyumbani nina kadi ya mchango wa harusi wa sh 20,000 nimegoma kutoa sababu naona ni matumizi mabaya ya hela.
Hivi vijeba vinne vimejipigapiga vimefanikiwa kutoa hiki kiasi kidogo walichojaliwa.
Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu...
Hii hapo chini ni gari Mazda CX5 ya 2014 ambayo unamlipa mjapan milioni 14 unusu.
Kikokotoo cha kodi ya tra kwenye gari hilo ni milioni 10 unusu. Ukijumlisha unapata kama milioni 25 hivi. Hapo...
Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.