Habari zenu wakubwa!
Ningependa tujadili swala la wafanyakazi wa ndani al maaruf house girls.
Wengi wetu, hasa wenye ndoa zao na walio wafanyakazi binafsi au serikalini tumekuwa na hitaji kubwa...
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
Vijana wa Tanzania ni wajanja sana na wanajitambua kuliko wale wa Africa Kusini tuliowasaidia kupata Uhuru
CCM liangalieni hili kwa umakini mkubwa
Mlale unono 😀🌟
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM chama Dume amesema Serikali ya awamu ya 6 chini ya Mwanamama jasiri na profesa wa Siasa Samia S.Hassan ndio awamu pekee Iliyoongoza kumwaga na kumimina mabilioni...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikiri wazi kuwa Tangia nimepata fahamu vyema mpaka hapa nilipofika sijawahi kushuhudia Tetemeko kali la Ardhi kama nililoshuhudia usiku huu wa manane. Ni Tetemeko...
Unahitaji huduma ya kuhamishwa kisasa, kufungiwa vitu kwa ustadi kama vyombo, nguo, na hata vifaa vya umeme kama dish au antenna la dstv au lolote ulionalo...karibu sana...tunapatikana kinyerezi...
Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana Serikali iangalie namna ya kuunda Bodi ya Mifuko wa Ajira.
Kuundwa kwa bodi ya mfuko wa ajira kutoka kwatika vyanzo mbalimbali vya kodi kutasaidia kupatina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.