Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Siku za karibuni,tutasikia Makamu wa Rais wa Malawi atazikwa. Ukizingatia mkoa wa Ruvuma umepakana na nchi ya Malawi,ninashauri Mkuu wa huo mkoa amwakilishe Rais kwenye maxishi hayo ili kupunguza...
5 Reactions
26 Replies
257 Views
Habari wakuu Naomba kujuzwa kwa mtu aliye mbezi beach shule anafikaje Chanika mwisho kwa usafiri wa daladala . Option ya Bolt inaleta mpunga mrefu kidogo 52k
1 Reactions
7 Replies
91 Views
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life 1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za...
19 Reactions
83 Replies
870 Views
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
16 Reactions
168 Replies
5K Views
Habari zenu,nina mtoto wa kike kesho 13/06/24 anafikisha miaka 11 kamili (Happy bday in advance my daughter) Mtoto alizaliwa vizuri japo alikunywa maji machafu baada ya kuchelewa kuzaliwa masaa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wadau, nikiwa Kama kijana naepambana katika kizazi hiki Cha teknolojia, Mimi ni mdau mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii, na ni miongoni mwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii kujipatia...
5 Reactions
6 Replies
186 Views
Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji...
180 Reactions
1K Replies
197K Views
Namfuatilia Hapa mjadala wa kesi ya mtoto wa Rais Biden aliyetiwa hatiani na mahakama kuu ya huko na Biden mwenyewe kukiri ameridhika na mwenendo wa Kesi Wenzetu Demokrasia inatekelezwa Kwa...
6 Reactions
27 Replies
652 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,707
Posts
49,863,900
Back
Top Bottom