Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
20 Reactions
124 Replies
4K Views
Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa wakiwa kitandani akamuuliza mkewe "Una uhakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?" Mke akajibu "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli tu...
4 Reactions
4 Replies
150 Views
Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti. Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli...
1 Reactions
4 Replies
66 Views
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
12 Reactions
238 Replies
3K Views
1. Unaosema wanakutukana ni kuwa wanasema HARD FACTS about you hakuna mwenye ubavu wa kukutukana.. Wanachokisema wanasiasa wa upinzani kwenye majukwaa ni facta probantia or to the worst side ni...
24 Reactions
22 Replies
927 Views
Mbona anakuwa kama Mangungo wa Msovero?
4 Reactions
22 Replies
343 Views
A
Anonymous
IGP tunakuomba uingilie kati kuhusu huyu Tapeli anajiita Generali Mwamwega ingawa jina lake halisi anaitwa Egron au Osward Rweyemamu. Huyu jamaa anatapeli kupitia kampuni fake ya ujenzi inaitwa...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Simba kwa sasa tutaona kila rangi.Utawala wa yanga umeimarishwa hadi kwenye safu ya uongozi wa Simba. Malengo yao ya kimpira yanatimia huku malengo ya kisiasa ya wanaotumiwa yanatimia lakini kuna...
0 Reactions
10 Replies
284 Views
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
73 Reactions
247 Replies
7K Views
Mkutano wa CHADEMA wa Singida Magharibi ulioongozwa na Tundu Lissu umefana Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro Naye John Pambalu ameitaka...
6 Reactions
26 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,643
Posts
49,862,495
Back
Top Bottom