Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa mara ya mwanzo vikosi vya Hizbullah nchini Lebanon vimetoa tangazo la kuzirushia makombora ndege za kivita za Israel na kuzilazimisha kurudi zilikotoka. Kufuatana na taarifa ya aljazeera...
2 Reactions
2 Replies
105 Views
Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu...
16 Reactions
69 Replies
1K Views
  • Suggestion
Miaka ya nyuma, yaani 1995 na kurudi nyuma, elimu ya vyuo vya kati na vyuo vikuu vya serikali, iligharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Miaka ya 1990, kufuatia utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi...
0 Reactions
1 Replies
43 Views
Wanaukumbi. 🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO. Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha...
2 Reactions
148 Replies
2K Views
habari wadau.. Naomba kujua mshahara (basic salary) kwa technician wa electronics and telecommunications engineering katika hayo maeneo: TBS, TBC, TTCL, TPA na sehem nyingine ambazo ana apply. NB...
2 Reactions
75 Replies
27K Views
Naam, ni Hakika! Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024. Mashindano...
13 Reactions
65 Replies
2K Views
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00...
11 Reactions
348 Replies
10K Views
Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana. Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae...
9 Reactions
99 Replies
7K Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha...
24 Reactions
134 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,781
Posts
49,866,016
Back
Top Bottom