Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi
Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa...
Habari wanajukwaa,hasa wafia dini. Kabla ya kuja dini afrika mababu zetu waliishi kwa Mila na desturi zao,hawakumjua yesu Wala muhamad, na sisi tuliomjua yes na muhamad tumemjua kwa kusimuliwa na...
Roma — Papa ametumia tena neno la dharau dhidi ya mashoga ambalo tayari alikuwa ameomba msamaha mwezi uliopita, shirika la habari la ANSA lilisema Jumanne.
Vyombo vya habari vya Italia...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa sasa chukulia makundi haya mawili, kundi la kwanza ukiwaweka watu wa aina ya kitenge, mwijaku, baba levo na mwanasiasa mmoja, na kundi la pili ukawawweka wasomi wenye digirii na ambao...
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye...
Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa...
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.