Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Kuna video nimeiona kwenye ukurasa wa Twitter wa Maulidi Kitenge ikimuonesha Rais wa Nigeria Mheshimiwa Tinubu akianguka chini wakati akitaka kupanda gari. ambapo ni kama...
3 Reactions
29 Replies
557 Views
Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti...
11 Reactions
41 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=9of5FD2D9xw Nimebubujikwa na machozi.
6 Reactions
25 Replies
927 Views
Habari wadau. Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba. Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
3 Reactions
6 Replies
7 Views
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
24 Reactions
142 Replies
4K Views
Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji...
181 Reactions
1K Replies
197K Views
Wasalaam. Upuka maneno matupu yasiyo na uthibitisho. Tufuatane kwa pamoja na kwa umakini upate kujifunza. Nitaweka, Aya zote ili uweze kuthibitisha mwenyewe na kufanya rejea juu ya yote...
4 Reactions
29 Replies
249 Views
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃 ========= Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli...
9 Reactions
72 Replies
2K Views
Niwakaribishe wale wenye kuweza kusoma hukumu na kuelezea inasemaje Kwa mnaonijua, mimi nitakuwa na kitu changu cha Jammaika nikifuatilia michango yenu. Karibuni sana. Mnapotuona msituchukulie...
3 Reactions
26 Replies
254 Views
Mbona anakuwa kama Mangungo wa Msovero?
7 Reactions
66 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,749
Posts
49,865,300
Back
Top Bottom