Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM chama Dume amesema Serikali ya awamu ya 6 chini ya Mwanamama jasiri na profesa wa Siasa Samia S.Hassan ndio awamu pekee Iliyoongoza kumwaga na kumimina mabilioni...
1 Reactions
44 Replies
164 Views
Unahitaji huduma ya kuhamishwa kisasa, kufungiwa vitu kwa ustadi kama vyombo, nguo, na hata vifaa vya umeme kama dish au antenna la dstv au lolote ulionalo...karibu sana...tunapatikana kinyerezi...
9 Reactions
272 Replies
12K Views
Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana Serikali iangalie namna ya kuunda Bodi ya Mifuko wa Ajira. Kuundwa kwa bodi ya mfuko wa ajira kutoka kwatika vyanzo mbalimbali vya kodi kutasaidia kupatina...
0 Reactions
1 Replies
36 Views
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi! Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi...
18 Reactions
82 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linao wajibu wakisheria wa kuwalinda raia na mali zao huku likibainisha kuwa limepokea maelekezo ya Mwenyekiti wa Ulinzi Mheshimiwa Paul Makonda aliyoyatoa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi. Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi...
0 Reactions
29 Replies
484 Views
Vijana wa Tanzania ni wajanja sana na wanajitambua kuliko wale wa Africa Kusini tuliowasaidia kupata Uhuru CCM liangalieni hili kwa umakini mkubwa Mlale unono 😀🌟
4 Reactions
38 Replies
804 Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
12 Reactions
234 Replies
2K Views
A
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl. Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
10 Reactions
56 Replies
742 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,101
Posts
49,765,077
Back
Top Bottom