Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa...
1 Reactions
52 Replies
411 Views
Wanaukumbi. 🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO. Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha...
2 Reactions
98 Replies
1K Views
Natafuta line ya safaricom ambayo inafanya kazi upande wa mpesa hata kama imewahi kuungwa paypal. Mwenye nayo akiwa dar anauza naomba ani PM
0 Reactions
0 Replies
1 Views
25th April, 2015 Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Jakaya Kikwete ilipitisha sheria no 12 ya mwaka 2015 (SHERIA YA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA YA MWAKA, 2015) ambayo chini ya kifungu cha 4 cha...
3 Reactions
21 Replies
372 Views
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00...
11 Reactions
340 Replies
9K Views
Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa. Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!?? Lakini pia Kuna jambo...
2 Reactions
19 Replies
133 Views
Habari? Nipo Dar nahitaji line ya safaricom niitumie kuconnect na paypal. Kwa ambae anauza naomba tuwasiliane WhatsApp +255759702766 Call: +255769931891
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa sasa chukulia makundi haya mawili, kundi la kwanza ukiwaweka watu wa aina ya kitenge, mwijaku, baba levo na mwanasiasa mmoja, na kundi la pili ukawawweka wasomi wenye digirii na ambao...
0 Reactions
8 Replies
9 Views
Timu ya Taifa inacheza lakini cha kushangaza Televisheni ya taifa, TBC haina muda wa kuonyesha mchezo huu muhimu, Je kama kituo namba moja cha taifa hakina muda na timu ya taifa, sisi wananchi je...
3 Reactions
10 Replies
264 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,520
Posts
49,859,512
Back
Top Bottom