Vyombo vya habari vya Israel vinachambua hili kuwa hii huenda ni mauaji ya kisiasa na ya kulipa kisasi. Inadaiwa ni Iran keshafanya yake.
BREAKING
3 Israelis died in a car explosion in Ashkelon...
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
Mimi naapa nilikuwa siwezi kula , kunywa wala kulala, meno yametoboka yanauma mno hadi machozi yanakuja mi mwanaume nakaza hakuna kulia, mishipa ya kichwa inatoka kichwa kinauma mno, nikamuuliza...
Viongozi wa dini waiomba serikali kuufungia mtandao wa kijamii wa Twitter ( X ) nchini kwani mtandao huo umeonekana ukivunja maadili na taratibu za nchi kwa kuhamasisha ushoga na usagaji...
Habarini za muda huu wadau!!
Kumekua na video kadhaa ziki postiwa mitandaoni zikionyesha baadhi ya watu (waume/wake) za watu wakiwa wamefumaniwa.
Je ni kipi sahihi kifanyike endapo utamfumania...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.