Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
269 Reactions
164K Replies
5M Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views
Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili. Nilisoma Tanzania kidogo nikahamia...
4 Reactions
72 Replies
1K Views
Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka...
22 Reactions
157 Replies
3K Views
Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja...
14 Reactions
26 Replies
787 Views
Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
7 Reactions
71 Replies
2K Views
Nimekuwa mfuatiliaji mwezi mzima nimeona na mie nijiunge, rasmiii. Naombeni mnikaribisheee jamani.
10 Reactions
50 Replies
435 Views
Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji...
176 Reactions
1K Replies
194K Views
Habari za muda huu wapendwa? Jamani niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna binti mmoja wife alimleta hapa home kwa madhumuni ya kufanya kazi yaani house girl. Basi siku ya kwanza alipofika...
10 Reactions
105 Replies
12K Views
Ndugu zangu Watanzania, Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu, amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
2 Reactions
61 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,430
Posts
49,857,547
Back
Top Bottom