Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna tabia za ajabu sana za madereva wengi Tanzania ambazo mimi nazijumlisha na kuwa mambo mawili makubwa, ushenzi na kukosa ustaraabu. Natoa wito madereva tubadilike, kwa sababu kwa na tabia hizi...
8 Reactions
38 Replies
388 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
2 Reactions
27 Replies
161 Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
67 Reactions
280 Replies
6K Views
Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa. Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!?? Lakini pia Kuna jambo...
1 Reactions
9 Replies
73 Views
The Weekend - Out of Time
19 Reactions
4K Replies
77K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Kichwa Cha thread ndio utashi wa Mwenyekiti wa UVCCM Nyamagana kupitia ukurasa wake wa X Yaani anatangaza Kufungia X kupitia ukurasa wake wa X 😂😂 Ila nimemwelewa ukishafungia X hutaacha...
2 Reactions
15 Replies
230 Views
Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali...
1 Reactions
13 Replies
692 Views
MO AREJEA KITINI SIMBA SC Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametangaza kurejea kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba kufuatia ombi la Salim Abdallah Try Again aliyejiuzulu nafasi...
2 Reactions
31 Replies
573 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,512
Posts
49,859,345
Back
Top Bottom