Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hakika vijana ndo taifa la kesho na nguvu kazi kwa taifa na jamii inayomzunguka, tusipowekeza kwa vijana tunaweza kuja kuwa na jamii na taifa la hovyo hapo mbeleni. Ni upi ushauri wako ungeliwapa...
1 Reactions
27 Replies
150 Views
Wakuu nataka nimwagizie shemeji yenu hio gari (HONDA CROSSROAD) naomba ushauri kwa ambao mna uzoefu nayo. Ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Msomi Nguli Dr James Zotto (PhD) anatosha kuwakilisha Wana Nyasa bungeni. Hivyo hima wajumbe msituangushe.
1 Reactions
5 Replies
111 Views
Mkutano wa CHADEMA wa Singida Magharibi ulioongozwa na Tundu Lissu umefana Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro Naye John Pambalu ameitaka...
2 Reactions
8 Replies
356 Views
Mara nyingi sana ,popote pale, Mtu mjinga, ukamkuta amekoswa hata ule uelewa wa kitu kilicho mikononi mwake. Njia pekee anayotumia kutoonekana ni Mjinga Huwa ni kukaa Kimya , wao Huwa...
16 Reactions
36 Replies
589 Views
Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakuu 1; Hemed Moroco ametuheshimisha! Ilihitaji muda kidogo kumuelewa, alianza taratibu na sasa anatishia kibarua cha kocha Amrouche! 2; Stars wameshinda lakini bado Zambia wamecheza mpira bila...
2 Reactions
7 Replies
327 Views
Habari JF, Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania...
38 Reactions
228 Replies
11K Views
Kwa Tanzania Bacca mna tunachomdai? He is very good, naona next season Yanga wampe uhuru akacheze Ulaya hata trial tu. Wasting his potential at Yanga. Huyu hata Manchester United anapita.
1 Reactions
6 Replies
183 Views
1. Unaosema wanakutukana ni kuwa wanasema HARD FACTS about you hakuna mwenye ubavu wa kukutukana.. Wanachokisema wanasiasa wa upinzani kwenye majukwaa ni facta probantia or to the worst side ni...
9 Reactions
5 Replies
227 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,445
Posts
49,857,863
Back
Top Bottom