Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Rasmi msimu ujao katika mashindano ya CAF kwa ngazi za vilabu kutakuwa na mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. Tangazo limetolewa na CAF katika tovuti yake 03 Juni, 2024 likionesha tarehe za...
0 Reactions
12 Replies
504 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Hapa nyumbani nina kadi ya mchango wa harusi wa sh 20,000 nimegoma kutoa sababu naona ni matumizi mabaya ya hela. Hivi vijeba vinne vimejipigapiga vimefanikiwa kutoa hiki kiasi kidogo walichojaliwa.
2 Reactions
5 Replies
6 Views
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press? Mnatuonaje Watanzania...
10 Reactions
29 Replies
967 Views
Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa jpm wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia akasema no...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wanaukumbi. 🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO. Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha...
2 Reactions
81 Replies
886 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
11 Reactions
124 Replies
3K Views
Chama cha Umkhonto we Sizwe (MK) kinachoongozwa na Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kimewasilisha maombi katika Mahakama ya Katiba kuzuia kikao cha kwanza cha Bunge kinachotarajiwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Yaani hata kile cha kuombea maji au kusalimiana au kujitambulisha tu kwa walugha wenzio. Haya ni matokeo ya fikra na falsafa chanya ya Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere katika kupiga vita na...
0 Reactions
6 Replies
68 Views
Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa. RC jana katumbuliwa, ndiyo...
2 Reactions
13 Replies
322 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,474
Posts
49,858,549
Back
Top Bottom