Daaaah watanzania wenzangu hope kwanza wote mnaenjoy ushindi wa tanzania leo :D:D:D sema nini leo nimefikiria kitu hapa nikasema niwashirikishe wadau wa jamii forum. Swali langu liko hivi je ni...
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026
Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku
00...
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na...
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...
Watu wengi wanapenda kuoa wanawake bikira, wakati unapomuoa bikira yake inakuwepo ukishambikiri anakuwa sio bikira tena. Je kuna haja ya kuhangaika na mabikira wakati bikira zao hazidumu hata week...
Serikali inajipiga kifua kwamba katika Uongozi wa MAMA SAMIA RAIS WA JMT ,Demokrasia imestawi.
Kiukweli usawa wa uendeshaji wa shughuli za kisiasa unabinywa chini kwa chini karibia kila Kona ya...
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
“Lazima mabadiliko yapatikane sio kuivunja tu Bodi ya Wakurugenzi, bali hata wachezaji kwa sasa hivi hawako watu wanaoweza kuiendeleza ile klabu, klabu imekuwa na mambo na kiubinafsi, hawathamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.