Ndugu zangu Watanzania,
Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu, amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
UTANGULIZI
Serikali imeanzisha kampeni ya kupambana na usugu wa madawa na tiba za kiholela kwa wananchi kupitia kampeni iitwayo HOLELA HOLELA ITAKUKOST. Hii kampeni ni nzuri kwa jamii na ina...
Habari wana Jukwaa,
Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa...
Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja...
Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi.
=======
Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza...
Mwanamume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe.
Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake.
Huyu mwanamume...
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
Wanaukumbi.
🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO.
Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha...
25th April, 2015 Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Jakaya Kikwete ilipitisha sheria no 12 ya mwaka 2015 (SHERIA YA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA YA MWAKA, 2015) ambayo chini ya kifungu cha 4 cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.