Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00...
4 Reactions
97 Replies
960 Views
Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Naomba hilo swali langu Hapo juu lijibiwe bila mihemuko Ahsanteni 🐼
5 Reactions
31 Replies
215 Views
Tuna mikoa mingini kwa hapa Tanzania yenye makabila tofauti yaliyo na mila na tamaduni zao Unahisi ni lipi kabila linakuvutia?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
9 Reactions
88 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu, amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
2 Reactions
46 Replies
915 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
929 Reactions
1M Replies
42M Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
7 Reactions
65 Replies
425 Views
Hivi inchi hii iliyojaa madini, ardhi ya kutosha idadi kubwa ya watu. Bado tupo kizazi Cha taarifa. Ila bado kuna vijana wanaona bila Ajira maisha ndio basi. Mimi mkoa ninaoishi mwajiriwa wa...
4 Reactions
4 Replies
166 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,332
Posts
49,854,666
Back
Top Bottom