Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
22 Reactions
212 Replies
12K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Mbali na Real Madrid kuchukua kombe msimu huu kutokana na kuwa na bahati tu ila ukija kwenye ubora wa timu basi Manchester United ni zaidi ya Madrid Kwakuangalia uwezo wa nchezaji mmoja mmoja...
3 Reactions
11 Replies
198 Views
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
15 Reactions
74 Replies
1K Views
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
8 Reactions
447 Replies
16K Views
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00...
7 Reactions
249 Replies
3K Views
Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja...
3 Reactions
5 Replies
42 Views
Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X Pia itakumbukwa Starlink...
4 Reactions
25 Replies
361 Views
Zuchu hajajichubua, hajaweka kalio la plastic, hajachora tatoo, havuti shisha wala kunywa pombe Ukimpata kama yeye OA chap masta
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
1 Reactions
3 Replies
24 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,358
Posts
49,855,572
Back
Top Bottom