Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote....
Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
Hivi Binti mkubwa atakubali vipi na kuzidiwa nguvu na mtu mmoja tena kwenye bar ya kask ambapo Kuna nyomi ya watu.
Kwanini hakupiga kelele za kuomba msaada?
Hiyo bar ina walinzi wakutosha...
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu.
Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026
Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku
00...
Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili.
Nilisoma TZ kidg nikahamia marekani...
Mimi ni lazima niwe fair pamoja na kutofautiana na serikali tena kwenye mengi uamuzi wa kuchukuwa mkopo wa $2.5B ni mzuri kwasababu zifuatazo
1. Mkopo wa muda mrefu
2. Riba nafuu
3. Nchi itaingia...
Kumejengeka dhania ya kwamba watu wa vijijini wanaishi kwa muda mrefu kuliko watu wa mijini kutokana na aina ya mifumo ya maisha wanayoishi.
Unakubaliana na hili na unafikiri ni kwa nin watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.