Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika. Chama cha kwanza ni chama cha United National...
10 Reactions
36 Replies
299 Views
Kwetu sisi wapiga kura je hii ni promotion au demotion??
0 Reactions
7 Replies
9 Views
Hii hapo chini ni gari Mazda CX5 ya 2014 ambayo unamlipa mjapan milioni 14 unusu. Kikokotoo cha kodi ya tra kwenye gari hilo ni milioni 10 unusu. Ukijumlisha unapata kama milioni 25 hivi. Hapo...
5 Reactions
59 Replies
752 Views
Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na...
0 Reactions
11 Replies
44 Views
Unaona kwamba msichana unayechumbiana naye sasa, ana nafasi kubwa ya kuifanikiwa kimaisha haraka kuliko wewe. Ndiyo maana hupaswi kutumia ujana wako wote kujenga uhusiano na mwanamke. Ukweli ni...
9 Reactions
14 Replies
311 Views
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
25 Reactions
131 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida na isiyo ya kikatiba Mwenyekiti wa Simba upande wa Mwekezaji anajiuzulu na kumteua Rais wa heshima wa Simba Mo kuwa Mwenyekiti upande wa Mwekezaji! Hii kitu...
1 Reactions
3 Replies
49 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
12 Reactions
134 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi. Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
14 Reactions
285 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,549
Posts
49,860,386
Back
Top Bottom