Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
12 Reactions
209 Replies
3K Views
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini. Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
18 Reactions
60 Replies
2K Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
50 Reactions
197 Replies
4K Views
Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka...
10 Reactions
35 Replies
486 Views
Ndugu Engineer naona kaamua kumpa mpinzani Raila Odinga urais wa Taifa la Kenya badala ya William Ruto. Kalisema jina lake kwa utulivu na uhakika. Nawashauri wasiiweke tena Kenya kwenye mipango...
3 Reactions
23 Replies
903 Views
achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote.... nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
1 Reactions
6 Replies
24 Views
Habari karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira Karibu...
1 Reactions
2 Replies
40 Views
shauri la RC Kulawiti Mwanafunzi tangu tarehe 04 June 2024. limeshika hatamu naona RC ameamua kutumia watu kumhonga binti ili asitishe kesi, Taratibu zote zilikuwa zimekamilika zikiwemo za...
0 Reactions
4 Replies
72 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye, kikosa ajira yeye. Kila siku ananipa habari mbaya nahisi ana mikosi na najikuta Mimi ndo naumizwa na matatizo yake...
2 Reactions
29 Replies
452 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,106
Posts
49,849,539
Back
Top Bottom