Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu.
Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)
Sehemu ya kazi
-Dar es Salaam
Majukumu yake
-Kufanya usafi wa nyumba ya wastani
-Kufua nguo za watu wawili tu
-Kupika chakula cha watu wawili...
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno.
Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii.Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
Mbali na Real Madrid kuchukua kombe msimu huu kutokana na kuwa na bahati tu ila ukija kwenye ubora wa timu basi Manchester United ni zaidi ya Madrid
Kwakuangalia uwezo wa nchezaji mmoja mmoja...
Kwa sasa hali ya hewa ndani ya Simba sc haipo sawa baada yakuibuka madai tofautofauti juu ya Muwekezaji wao Mo Dewji kuidai Simba pesa zake ambazo alikuwa anazitoa nje ya mkataba wake wa uwekezaji...
Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura.
Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele...
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.