Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
Mnasikia yanayoendelea, yaliyoendelea na yatakayoendelea.
Kila wakati mitandaobi tunaona wanaoliwa mitungo, wanaopakuliwa mambo haramu ni wasomi.
Hii ndio sababu bora nikae na form Four Failure...
My Take
Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele.
Tafuteni hoja nyingine 👇👇
======
“TPA (Mamlaka ya Bandari Tanzania) mwaka jana (2023) nina...
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO.
1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio...
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote....
Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
Habari wana Jf, niende moja kwa moja kwenye mada ya leo,ishara tano zinazoweza kumtokea mtu anayekaribia kufa, kabla sijaanza kupitia ishara hizo tano kwanza ningetoa mfano mmoja ambao Ni tukio la...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari wanajamvi,
Leo sina maneno mengi. Katika pitapita zangu nimekutana na concept moja inaitwa "How to fail successfully". Kwamba kufeli ni lazima, inategemea tu unaichukuaje, na unaishije...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.