Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote....
Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Tukumbuke kuwa ingawa Ulaya na Marekani na Canada pamoja na washirika wao Australia, New Zealand na Japan ni Democracy, bado kumekuwa na vyama vya kisoshalist, liberals na green parties (vyama...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la Leo.
Lengo la vyombo vya habari, ni kuihudumia jamii, ukikutana na jambo fulani zuri, linawezeza kuisaidia jamii, unaliandika ili kushea na...
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
Kuna hii tabia inaanza kuota mizizi ya viongozi wa kisiasa kunyanyasa watu kijinsia kisha vyombo vya dola kupotezea baada ya kutumia umasikini wa wahanga kulipa chochote. Kule Manyara naibu Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.