Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyu jamaa anatakiwa aombe radhi ili afanikiwe. Kati ya vitu nililaani hatochukua kiatu ni yale maneno aliulizwa eti unaongeleaje kurudi Yanga akasema yeye kurudi Yanga labda Eng. Hersi aondoke...
2 Reactions
14 Replies
319 Views
Kwa wale ambavyo angalau ngeri inapanda hebu pitieni kidogo hicho kipande cha gazeti.
0 Reactions
7 Replies
127 Views
Copy and paste kutoka kwenye page ya HIV living postive instagram. "Naitwa XXX naishi iringa naomba msaada napitia kipindi kigumu sana sijui nianzie wapi nina stress nyingi sana nimeolewa na...
4 Reactions
18 Replies
400 Views
SEKTA YA UJENZI YACHANGIA ASILIMIA 14 PATO LA TAIFA Sekta ya Ujenzi imekuwa ikikua kwa wastani wa asilimia 12 kwa mwaka kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita. Haya yamebainishwa na Waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
3 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mwigulu Nchemba ateuliwa na Rais Samia kuwa mjumbe tume ya mipango Taarifa kamili hapo chini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
5 Replies
95 Views
Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za...
0 Reactions
1 Replies
50 Views
Mm nahitaji kumzaba Kofi Olomide shabiki yoyote wa Uto, maana wanasumbua sana kitaaa Tiririka Mkuu.....
6 Reactions
85 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
2 Views
Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi. Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila...
3 Reactions
13 Replies
181 Views
Wengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa. Sababu ya ufugaji wa kuku wa kisasa unaonekana ni mgumu kutokana na maeneo na...
1 Reactions
7 Replies
122 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,243
Posts
49,741,102
Back
Top Bottom