Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu ,amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
2 Reactions
30 Replies
459 Views
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu...
9 Reactions
57 Replies
865 Views
Kwanini Bongo ukimkopesha mtu siku ya kumdai inabidi utafute sababu na matumizi na maelekezo ya kwanini unaitaka pesa yako Je hii ni halali kweli yani pesa ni yangu na bado nilazimike kutunga uongo
0 Reactions
8 Replies
44 Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
63 Reactions
246 Replies
5K Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
16M Views
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno. Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru Hadija...
0 Reactions
9 Replies
168 Views
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote.... Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
11 Reactions
170 Replies
1K Views
Gamondi history Kila team anayofukuzwa is due to his harsh mentality, anataka vitu vyake viende atakavyo, in short ni mkali Sana. akiingia kwenye team lazima afanye atibue kwanza vitu. In short...
4 Reactions
20 Replies
537 Views
My Take Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa ,ni spana tuu Kwa kwenda mbele. Tafuteni hoja nyingine 👇👇 https://www.instagram.com/p/C8ErwLFiBJh/?igsh=a2JtbTNxNHJzbGw4
0 Reactions
3 Replies
47 Views
Baada ya kuuchoma na kuuharibu kabisa mji wa Kyrat Shmona na Upper Galliilee sasa Hezbollah wameanza kuuchakaza mji wa biashara wa Haifa Ikumbukwe kuwa Haifa ndo mji kitovu cha uchumi na biashara...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,235
Posts
49,852,208
Back
Top Bottom