Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sio kila mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano kwamba hafai kuwa mke, Baadhi yao wanapitia magumu mengi mno yanayohitaji msaada wa fedha zaidi kuliko faraja, na kwakuwa anakuamini...
6 Reactions
46 Replies
540 Views
Ndugu Wanajamvi, Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala...
4 Reactions
107 Replies
1K Views
Tangu 2015 watanzania hatujapata rais anayestahili na mwenye sifa za uongozi. Rais wa 2015 - 2021 . Huyu alikuwa anaendesha nchi kama nyumba yake. Alijawa na sifa za kishamba, matusi kibao na...
1 Reactions
5 Replies
20 Views
JE, NDEGE INARUDI NYUMA? Ndege nyingi za sasa zina mfumo wa kurudi nyuma #reverse' ambao mara nyingi hutumika kupunguza kasi wakati ikitua (#Braking). Kwa baadhi ya ndege za 'Mapangaboi'...
38 Reactions
417 Replies
17K Views
Otikiiii 😂😂😂😂🤣
0 Reactions
2 Replies
52 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
268 Reactions
164K Replies
5M Views
wakuu kwema, kama mada inavyojieleza ,,hapa nipo njia panda nakosa la kufanya,naamin ntapata maoni kupitia nyinyi. labda niwaeleze kisa na mkasa mpaka kufikia hatua ya kupandisha uzi usiku huu...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Siongei sana. Sina maneno mengi! Video yenyewe iliyosheheni operation za Hezbollah inajisemea. Tazama! https://m.youtube.com/watch?v=JpONxjW0X9Q
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi. Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu. Noa Argamani, ambaye utekaji...
13 Reactions
305 Replies
7K Views
Tukumbuke kuwa ingawa Ulaya na Marekani na Canada pamoja na washirika wao Australia, New Zealand na Japan ni Democracy, bado kumekuwa na vyama vya kisoshalist, liberals na green parties (vyama...
3 Reactions
7 Replies
407 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,047
Posts
49,848,331
Back
Top Bottom