Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Japo bado sijamwelewa vizuri huyu rais wetu Mama Samia, lakini naona apewe miaka 30 ya kuongoza kama Mbowe alivyo ongoza miaka 30 pale chadema au mnasemaje makamanda. Si mnaona wenyewe maridhiano...
0 Reactions
4 Replies
12 Views
Binafsi kuzaliwa mtu wa jamii ya watu mweusi kumegeuka mkosi na sio tu kuzaliwa katika jamii ya mtu mweusi pia kuzaliwa Afrika& muafrika na pia sio tu kuzaliwa muafrika pia kuzaliwa Tanzania na...
5 Reactions
40 Replies
448 Views
Natoka kwa hasira baada ya kunikwaza na kwenda zangu nje au mtaani kidogo kutuliza munkari. Ile narudi tu nakutana na tego la haja la msambwanda basi makosa yanasahaulika au kusamehewa hapo hapo...
6 Reactions
19 Replies
195 Views
The Weekend - Out of Time
19 Reactions
4K Replies
77K Views
Haifahamiki inatetea nini kwa sasa, na kiongozi wake ni nani kwa sasa. Haijulikani mikutano inayoendelea kwa sasa ina baraka na inagharamiwa na chama au ni mikutano ya mtu binafsi tu. Uelekeo...
3 Reactions
13 Replies
173 Views
Tukumbuke kuwa ingawa Ulaya na Marekani na Canada pamoja na washirika wao Australia, New Zealand na Japan ni Democracy, bado kumekuwa na vyama vya kisoshalist, liberals na green parties (vyama...
3 Reactions
5 Replies
372 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
230 Reactions
402K Replies
33M Views
DADA YANGU KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MWANAUME HUU NDIO MGAWANYO WA WANAUME KULINGANA UMRI WAO 1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
929 Reactions
1M Replies
42M Views

FORUM STATS

Threads
1,862,039
Posts
49,848,215
Back
Top Bottom